
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza alipofungua Kongamano la Tano la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati na Uwekezaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Septemba 3, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Washiriki
wa Kongamano la Tano la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya
Kimkakakti na Uwekezaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji
Wananchi Kiuchumi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba
alipofungua Kongamano hilo kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma,
Septemba 3, 2026. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye
viwanja vya ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma kufungua Kongamano la
Tano la Ushiriki wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati na Uwekezaji
lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ,
Septemba 3, 2026. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Profesa Palamagamba Kabudi,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uwekezaji na Uwezesha, Profesa Kitila
Mkumbo, Waziri wa Madini Anthony Mavunde, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri
Mkuu, Dkt. Jim Yonaz na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji
wananchi Kiuchumi, Profesa Aurelia Kokuletaga Kamuzora. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizindua Kongamano la Tano la Ushiriki wa
Watanzania katika Miradi ya Kimkakati na Uwekezaji lililoandaliwa na
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwenye ukumbi wa PSSSF
jijini Dodoma, Septemba 3, 2026. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Jim Yonazi, Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza
la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Gwakisa Bapala, Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Profesa
Palamagamba Kabudi na, Waziri wa Madini Profesa Anthony Kabudi na kulia
ni Mkuu wa wilaya ya Chamwino, Janeth Mayanja.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)

Waziri
Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akipokea kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu
Hassan Tuzo ya Heshima ya Rais iliyotolewa na Baraza la Taifa la
Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi alipofungua Kongamano la Tano la Ushiriki
wa Watanzania katika Miradi ya Kimkakati na Uwekezaji lililoandaliwa na
Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwenye ukumbi wa PSSSF
jijini Dodoma, Septemba 3, 2026. Kushoto ni Waziri wa Madini, Anthony
Mavunde, wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Chamwino, Janeth Mayanja na
kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi,
Aurelia Kokuletaga Kamuzora. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Chapisha Maoni